Tuesday, June 18, 2013

RASIMU MPYA YA KATIBA NA MAPUNGUFU YAKE KWA WAISLAMU


Ona hii katika Rasimu ya katiba mpya..
Uhuru wa
imani ya dini -31
(3) Shughuli ya uendeshaji wa jumuiya za dini itakuwa nje ya
shughuli za mamlaka ya Serikali.
 (5) Ni marufuku kwa mtu, kikundi au taasisi ya dini kutumia uhuru
wa kutangaza dini kwa kukashifu imani na dini nyingine, kujenga chuki au
kuchochea vurugu na ghasia kwa madai ya kutetea imani au dini.
        Hivi vipengele vilekebishwe au viondolewe kabisaaa…Hivi ni ipi maana ya kashfa katika kipengele(5) Je mwaikumbuka kadhia ya Muhadhiri wa kiislamu Lubegula? Sisi waislamu tunasema YESU SI MUNGU wala SI MTOTO WAMUNGU na waklisto wanaamini kuwa YESU NI MUNGU NA NI MTOTO WA MUNGU je nanai anae mkashfu mwenzake hapo? Waislam kila mmoja katika nafasi yake tuchangieni katika kubadili katiba hasa rasimu hii.Maswali mengine rasimu hii inasema kila mtu ana haki ya kuabudu na kuwa au kuto kuwa na dini,je mahkama ya kadhi sio sehemu ya ibada kwa waislamu? Mbona haija ainishwa kwenye rasimu hii? Serikali imesema tuunde mahkama zetu za kadhi,je zikianza kutoa hukumu zinazo husiana huislamu serikali haitaingilia? Kwetu sisi waislamu mtu akitoka kwenye uislamu na kwenda dini nyingine ni murtaddi sharti auwawe na rasimu hii inasema mtu anauhuru wa kuingia dini yeyote ama kuhamia dini yeyote,je hatuja ingiliwa uhuru wa kuabudu hasa katika swala kama la Murtaddi? Kama kipengele namba (3) ni sahihi kwanini ziruhusiwe ndoa za bomani?, Vipi kuhusu OIC na vatkanii? Shimma aleykum waislam sis indo wenye dhamana ya urekebishaji 

No comments:

Post a Comment