Kutoka chuo kikuu chawaislamu cha morogoro, yule jamaa ambaye alikuwa akitafutwa siku nyingi na uongozi wa chuo hicho kwa tuhuma za kukashifu na kukinanga chuo hicho kwa kutumia matusi yaliyo ya nguoni na yasiyoweza kutamkika kwa mtu muungwana na mwenye maadili, atimaye atiwa mbaroni na kutimuliwa chuoni hapo .Kupitia chanzo cha habari cha kujitegemea kilichopo chuoni hapo kilieleza kuwa jamaa huyo ambaye ni maarufu kwa jina la Emanue mgaya kama alivyo kua akilitumia katika kuuandika uchafu wake huo katika mtandao wa kijamii wa face book,alikua si mtu wakutoka mbali na chuo hicho kama ilivyo kuwa ikidhaniwa na watu wengi chuoni hapo na badalayake Emma alikua ni mwanafunzi chuoni hapo na alikuwa akisomea shahada ya uwalimu katika masomo ya sayansi fizikia na kemia.
Kikubwa zaidi Ema alikkua katika maandalizi ya kumaliza shahada yake hiyo chuoni hapo katika muhula wake wamwisho chuoni hapo baada ya kukisumbua chuo hicho kwa muda mrefu sasa takriiban miaka miwili.Mgaya ambaye nimwanafunzi wa mwaka watatu ametiwa mbaroni na jopo la maadili la chuoni hapo baada ya kupelekewa kesi na binti mmoja ambaye pia anasoma katika chuo hicho ambaye alikua akissumbuliwa kwa muda mrefu na bwana Emanuell Mgaya ambaye alikuwa akilisaka penzi la bint huyo kwa udi na ubani na uvumbaa.
Bint huyo ambayeni mkali kiaina kama wanavyo sema vijana wakileo ana umixa wa kiajemi kiaina amefunguka katika jopo hilo la maadili baada ya kuchafuliwa na jamaa huyo kwa wazazi wake na kwenye mtandao wa fb na pia kutishiwa kuchafuliwa zaidi endapo ataendelea kumbania mchizi huyo kumpa mautamu.
Hivyo kama wanavyo lifahamu wanafunzi wa MUM jopo hilo la maadili liki ongozwa na ustadh Filambi lili fanikiwa kutumia mbinu mbalimbali za ki saikolojia na zaki stratejia pamoja na kugongwa kunut mskini, hatimaye mwana Emanueli Mgaya alifunguka mwenyewee nakuanza kutiririka kua ndiye yeye aliye kua anakichafua chuo hicho kwamitusi mtandaoni.
Ila katika hali hiyo MR. MGAYA ambaye pia alikua akizaniwa kuwa ni usalama wa Taifa ambaye ametumwa kuchafua chuo amma kama alivyo tumia kujitambulisha kwa kimwana hicho ambacho alikua akiki sumbua kwa kutaka penzi lake kwakumtishia yeye ni usalama wataifa, amekanusha kwamba yeye sio usalama wa taifa baada ya kutishiwa na kamanda filambi kwamba yeye anawafahamu watu wa usalama wa taifa hivyo atawapigia simu kuwauliza ,jamaa alimbwela na kukanusha yeye sio usalama wa taifa, hatahivyo kamati hiyo ya mmaadili imeahidi kulifikisha swala hilo maakamani na polisi ili hatua zakisheria ziendelee kuchukuliwa.Bwana Emanueli Mgaya ambaye jina lake halisi ni KOMBO ni muislamu na sio mkristo kamailivyo kuwa ikidhaniwa na watu wengi...

No comments:
Post a Comment