Hili lime dhihirika dhahiri pindi ambapo baraza la mitihani la Tanzania lilipo tangaza/bandika uppya matokeo yakidato cha sita katika mtandao wao wa baraza hilo ,nahili lime kwenda sambamba na juhudi mahsus zalizo fanywa na baaadhi ya waislamu wenye uchungu juu ya uonevu na uwizi unaofanywa na baraza la mitihani la Tanzania.kwani katika matokeo ya hapo awali waislamu wenge hasa watokao katika shule za kiislamu zilizopo hapa nchini walionekana kufeli kwakiasi kikubwa hasa katika somo linalo husu dini yao wenyewe yaaani la maalifaya kiislamu au islamic knowledge ambapo hapo mwanzoni hapakuwapo na alama za A wala B nakwamba ni wachache tu ambao waliweza kupata alama za C pamoja na D na wengi wao kuweza kuambulia alama za E na F ambazo ni za mwisho kabisa katika kiwanngo cha ufaulu cha kidato cha sita , kwamujibu huo ni dhahiri kwamba bilashaka yoyote kua waislamu walioko hapa nchini wana pigwa vita kinagaubaga na katika nyanja tofauti na ikiwemo nyanja hii ya elimu.Na kwa kuthibitisha hili jaribu kuangalia uongozi wajuu wa utawala ulioko katika bodi ya usahihishaji katika baraza la mitihani la Tanzania utagundua kua wengi wao walioko katika sehemu hizo nyeti na nikuuu ni wakristo ambao ndo maadui wakubwa wanao onekana kwa sasa hapa nchini Tanzania ,hivyobasi kutokana na serikaliyetu Ya Tanzania kuwa ime tawaliwa na mfumo wa kikristo na kwamba matakwa menge ya wakristo ndiyo yanayo tekelezwa na yale ya kiislamu kupuuzwa na waislamu kupiga kerere kwa mnda mwingi juu ya kupuuzwa huko bila mafanikio sasa ina dhihirika wazi kuwa waislamu wana baguliwa na kuonewa waziwazi katika nchihii ambayo eti ina jiita kuwa isiyo kuwa na dini.Kifupi ni kwamba nchi hii imeshajulikana sikunyingi kwamba imetawaliwa na kanisa na kanisa ndilo lenye maamuzi ya mwisho kama ilivyo kusudiwa kuwa na wanae mwita Muasisi wa taifa hili MWALI J.K.NYERERE Ambaye kwakiasi kikubwa ndiye aliye changia kujenga tabaka lakidini katika nchi hii. Sasa bas kwa mujibu wa hali hii na mwenendo huu nidhahiri kabisa Tanzania ijayo au inayo elekea kuwa itakua ni yamachafuko kwanamna yoyote ile kwa kua watanzania wengi ambao ni waislamu ambapo hata takwimu yao imepotoshwa makusudi na kusemwa kuwa wengi ni wa kristo kwa sababu hizo hizo za kibaguzi sasa wame amka na wanajitambua zile zama za kuburuzwa zimekwisha na sasa Serikalli ina paswa kuwa makini na mwenendo huu la sivyo ikosiku mdhurumiwa hataona bora hawesawa na mwenye kudhulumu. Hivyo basi ukiwa wewe ni mpenda amani na mtaka maendeleo ya taifa hili basi huna budi kupinga na kukemea ubaguzi huu kwa namna yoyote ile bila kujali wewe ni dini gani,unatokea wapi au warangi gani .TUSIMAME PAMOJA KAMA WAPENDA AMANI KUPINGA UBAGUZI HUU kwani sisi sote ni wa Tanzania tulio kulia kwenye nchi iliyo tawaliwa na amani ambayo kwa miaka mingi imeonekana kuwa ni ya upande mmoja. Hivyo basi tuunganishe juhudi zatu tuwaze kufaidika na amani hii pamoja na tusi subiri mpaka muonewa aweze kugawana machungu ,taabu ,dhiki ,chuki na muoneaji. Nihayo 2
Monday, June 4, 2012
WAISLAMU TANZANIA WAZIDI KUCHAKACHULIWA KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA(TANZANIA).

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment