kianacho faamika nawengi kuhusu parestina siuhalisia halisi juu ya swala lenyewe na uhalisia wake na mantiki ya kadhia nzima juu ya mauaji yanayo tokea na swalazima la upoteaji wa haki za kibina damu katika nchi ya kiyahudi au ardhi ya parestina ,matukiomengi huusishwa na swalazima la marekani najitihadazao za kuupiga vita huislam duniani kote, ndio kiuhalisia tunaweza sema kua kuna ukweli juu ya hili lakini swali lakujiuliza ni kua je myahudi ni nani? nilipi taifala kiyahudi? na kwanini myahudi achague ardh ya parestina? kwanini mmarekani amsaidie myahudi? ukiweza jibu maswali hayo fika uta weza kutambua chanzo na sababu zinazo na zilizo pelekea vita ta migogoro katika Middle East.kwa mtazamo tu waharaka swala hapa si mtazamo wakifdini kamainavyo zaniwa,nawala si kweli kwamba eti wayahudi wamekalia arth ya parestina kwakua tu imeandikwa katika maandiko matakatifu ya kikristo ( Bible ) kuwa wamehaidiwa kuishi hapo baliniswala zima la maslahi ,unyanyaswaji,tamaa na ruhu ya kutu itokanayo na historia chungu waliyo wahikuanayo wana wa izrael (wayahudi) ,hivyo basi kutokana na historia ya unyonywaji na ukandamizwajji iliyo wahi kuwatokea wayahudi ime wapelekea wao kutanga na kuhangaika nakwenda hovyo pasipo kuju.Ha na hatimaye pia kutokana na sababu hizohizo za uchu na rohu ya kutu ndizo zilizo ipelekea marekani kutaka kuisaidia izrael katika kuwatawalawa parestina ambao miongoni mwao ni waislamu. Hivyo basi hifahamike yakwamba ugomvi uliokuapo pale umebezi zaidi katika swala la kimaslahi na wala si lakidini kama inavyo dhaniwa na wa2 wengi duniani,umwagajidamu unaoendelea hasa kwa watoto na wakina mama ni dhahili kwamba swala hili si lakidini kwani kuna waparestina wakristo naopia wana pateza maishakilasiku kutokana na udhalimu wa Wamarekani na wayahudi.
Jamain jamani ! shime kwa watu wooote wapenda amani duniani tukemee na kupinga vitendo hivi vya kidhalilishaji na ukandamizaji vinavyo endelea kufanywa na wayahudi na marekani dhidi ya parestina.naiunga mkono serikali ya Tanzania kwakua haiungi mkono vitendo hivyo na pia chuo kikuu cha kiislamu cha morogoro kwa kuweza kuandaaa kongamano ambalo lili weza kufumbua macho wasomi wengi wa morogoro juu ya swala zima linalo endelea huko Middle East

No comments:
Post a Comment