Kutokana na kuweko kwa vuguvugu laufisadi lililo jitokeza katika tawi maalum la CCM vyuo vikuu la chuo kikuu cha waislamu cha morogoro ambalo lilikuwepo katika migogoro mbalimbali katika kipindi kirefu tangu tawi hilo kuanzishwa na haatimaye migogoro hiyo kuwekwa sawa na aliyekuwa mwenyekiti wa tawi Bwana MAULID KUPONGA nakuweza kurudisha heshima ya tawi nauaminifu katika CCM ngazi za juu(wilaya,mkoa,taifa) sasa inaonekana heshima hiyo inataka kuvurungwa nawatu wachache wasiojua kanuni na taratibu za uongozi kama vile mwenyekiti wa sasa katika tawi hilo ambayeni Bwana MALELA ,nikajifisadi kadogo(dagaa) ambacho kanaonekana kuchipukia ndani ya CCM nakutaka kukichafua chama ambacho kwakweli hatutoweza kubali litokee hili kwakuwaza kumvumilia kiongozi kama huyu na wenziwe.Tarehe 16/06/2012 kulikua na mkutano pamoja na maafali ya kuwaaga wanachama wavyuo vikuu vya morogoro ambapo ulijumuisha vyuo kama MZUMBE,SUA,JORDAN na MUM ambao ulijumuisha viongozi mbalimbali wa jumuia ya vyuo vikuu,mkoa na taifa akiwemo MH JANUARY MAKAMBA,A.KINANA,ABOOD na wengineo wengi. Katika maafari hayo ambayo yalikua yame gharamiwa na viongozi mbalimbali katika chama ili jambo hilo liweze kutendeka yametiwa dosari na watu wachache wenye kupenda maslahi na tamaa ya fedha kama MALELA(mwenyekiti MUM) ambaye alichangisha wanachama wake fedha Tsh ELFU TANO kwa kila mmoja akidai yakuwa ni mchango kwa ajili ya maafali hayo kwa maana nifedha za gharama za chakula na vyeti ambavyo viligawiwa kwa wanachama,JE ? huu si ufisadi ? wakati wanachama watawi la MUM walipo shituka kwamba maafali imesha gharamiwa na waheshimiwa wakaanza dai haki zao kwakumtaka Bwana MALELA na uongozi wake waitishe kikao ili watueleze /wawaeleze wanachama juu ya mchanganuo wa matumizi ya fedha zilizo changwa,hatimae MALELA na uongozi wake wanarusharusha juu ya swala hilo na hawataki kukaa na wanachama kulizungumzia swala hilo.Huu ni ufisadi unao onekana dhahiri kwani MALELA mpaka sasa kisha gombana na viongozi wenziwe ambao wako kinyume naye pamoja na uongozi ulio pita kwa kuuambia hana imani nao ,MALELA ana toa maneno ya kashfa kwa wanachama wake kwa kusama maneno ya dharau na kiburi kwakusema" wajinga ndio waliwao" MALELA anahimizwa kikao na viongozi wenzake pamoja na wanachama anasema hana imani nao ,Je huyu ni kiongozi ? sasa basi kamayeye hanaimani na wanachama wake na viongozi wenzake nasisi hatuna imani naye ,hivyo basi tunamtaka arudishe fedha zetu na ajiuzuru uongozi HATUMTAKI na kwakuliendea hili sisi wenyewe wadau wa hiki chama tuna mchukulia hatua stahiki mwizi huyu wamachomacho.Kama ni mkereketwa ungana na sisi katika kukitetea chama nihayo tu.
No comments:
Post a Comment