Thursday, December 1, 2011

mwaka wa tatu BAED waonyesha kiwango dhaifu dhidi ya mwaka wa tatu seria MUM.

Wachezaji wa mwaka watatu wampira wamiguu wameonesha kiwango chachini zaidi juu ya vibonde wa mwaka watatu ambao gemu zao zote za awali wame bamizwa vibaya mno ikiwemo ile gemu kati yao na watoto wa mwakawakwanza BAED ambapo walikunywa saba bila,hatahivyo mbalinakiwango kibopvu hicho kilicho oneshwa na wachezaji hao wa mwaka wa tatu wa BAED bado walifanikiwa kuwanyuka vibonde hao kwa magoli matatu  kwa moja magoli hayo yalipatikana katika hali ya ndondo kera ,nikiwango kibovu kilichooneshwa na wachezaji hao kiasikwamba kina lala mikiwa na mashabikiwake wengi ambao walitarajia magoli mengi kutoka katika kikosi cha timu yao.wameombbwa wajirekebishe kwani mechi inayo fuata dhidi ya mwaka wapili BAED ningumu kiaina kutokana nahao watoto walivyo tukamia.

No comments:

Post a Comment