wanawa msimbazi leo kidedea wawa chapa watani wao wa jangwani mabao 2-0 hatimaye inaone kana nizamu ya yanga kusubiri msimu huu kwani wame onekana kutepeta ile mbaya mbele ya mahasimu wao watoto wa jangwani wasukumiza kimya wa simba ni sunzu goli la kwanza na boban la pili.
No comments:
Post a Comment